1 Kings 18:17-18

17 aAhabu alipomwona Eliya, akamwambia, “Je, ni wewe, mtaabishaji wa Israeli?”

18 bEliya akamjibu, “Mimi sijaitaabisha Israeli. Lakini wewe na jamaa ya baba yako ndio mnaofanya hivyo. Mmeziacha amri za Bwana na mkafuata Mabaali.
Copyright information for SwhNEN